Akina mama wenye HIV wanavyonyesha Kenya

Nchini Kenya shirika moja limejitolea kuwasaidia akina mama waathiriwa wa HIV kuwanyonyesha watoto miezi sita mfululilzo
Dunia inaadhimisha wiki ya umuhimu wa kuwanyonyesha
watoto. Mwaka huu mada kuu ni kutoa mazingira mazuri katika kuwasaidia
wanawake kufanikisha jukumu hilo muhimu.
Nchini Kenya shirika moja limejitolea kuwasaidia
akina mama waathiriwa wa HIV kuwanyonyesha watoto wao kwani wakati
serikali inaposema akina mama wanyonyeshe miezi sita mfululilzo na wao
wako katikan fungu hilo.
sikiliza makala hii bofya hapo chini kusikiliza
http://wsodprogrf.bbc.co.uk/swahili/dps/2013/08/kenyabreasfeedingweekgood_130802_breasfeeding_week_au_bb.mp3
0 comments:
Post a Comment